Saturday, October 30, 2010

MWALIKO! MWALIKO! MWALIKO

Akina mama tujongee kanisani Brooklyn weekend ijayo usikose, usikose mkaribishe na mwenzako.



Friday, October 29, 2010

KIU YA NENO

MIKA 7:6B ADUI WA MTU NI WATU WA NYUMBANI MWAKE MWENYEWE.

Nilikuwa nasoma Neno la Mungu nikafika kwenye kitabu cha Mika nikakutana na hili mimi mwanzo nilidhani ni mithali ya kiswahili tu kumbe ni Neno lililopo kwenye Biblia. Kusema kweli tunapoambiwa kuwa hii Bibilia ni mpya kila siku tusishangae kwani unaweza ukawa umesoma mara mia lakini kila unaporudia kusoma lazima ukutane na jambo jipya.
Kumbe adui yako hatoki mbali ni yule yule unayekula naye na kucheka naye na kulala naye. Ndio hata tunaambiwa kuwa mchawi halogi (hamchawii) mtu ambaye hamjui huwa mara nyingi anahangaika na wale awajuaye. Mara nyingi adui zetu wanakuwa ni ndugu, jamaa au marafiki zetu wa karibu ndio wanaokuwa wabaya zetu kwani anakujua vizuri jina lako, la baba yako la utotoni unavyokula unavyolala na hata siri za ndani ya nyumba zetu wanazijua. Hivyo inakuwa rahisi kwao kuchezea maisha yetu bila mpango, mara nyingi inakuwa ni husuda tu, chuki binafsi na mambo mengine kama hayo.
Lakini hii yote inatokana na Nini? Kumkosa Yesu katika maisha yao ndiko kunakowafanya watu wa jinsi hii kuanza kuwatenda mwenzao mambo yasiyofaa kuwa na chuki na husuda juu ya maisha ya wengine. Watu kama hawa hawataki kabisa kuona watu wana amani, furaha, maendeleo katika maisha yao, hivyo wanajitahidi kwa kila namna na jinsi ili uweze kuteseka kwani wao wameshakuwa ni wafuasi wa yule ibilisi. Kufanya mambo kama hayo kunawapa burudiko fulani ambalo ni la muda mfupi ambapo wanafurahia sana wanapoona umeanguka, umerudi nyuma kimaendeleo, watoto wako wanapokuwa mwiba ndani maisha yako n.k. Cha msingi ni kuwaombea kwa Mungu ili awarehemu na awasamehe na pia wapate ukombozi wawe na hofu ya Mungu kusudi watoke katika hivi vifungo. Ukisoma Galatia 5:19-21 utaona vifungo vilivyowakalia watu ambapo ni maombi tu yanahitajika mtu anakuwa huru.
Cha kufanya sisi wana wa Mungu ni kumkubali Yesu kuwa ni Bwana na Mokozi wa maisha yetu kiukweli kweli kutoka moyoni si maneno matupu, kuwa na kiu ya kusoma Neno la Mungu, kuliishi Neno kwa maana ya kulitendea kazi Neno tunalosoma na Imani yetu kwa Mungu. Kwani ukimwamini Mungu kuwa yeye anaweza kukushindia kila jambo ndani ya maisha yako hata hao adui zako kama ni wachawi au unenewe maneno mabaya kiasi gani, majaribu yawaye yote hayatakutikisa wala kufanya kazi (hayatatendeka) ndani ya maisha yako, wala kwa familia yako au wanao, kazi, afya yako n.k.Utaishi kwa amani, furaha na utaona baraka zotee Mungu alizotuahidia katika maisha yetu zikitimilika kwako. Biblia inasema ktk Mika 7:8 hata ukikaa gizanii Bwana atakuwa NURU kwako. NA BWANA WETU YESU KRISTO ANATUAMBIA MANENO HAYA PIA KATIKA YOHANA 8:12 MIMI NDIMI NURU YA ULIMWENGU, YEYE ANIFUTAYE HATAKWENDA GIZANI KWAMWE, BALI ATAKUWA NA NURU YA UZIMA.
Tusitembee gizani tena, tusitembee tukiwa tumesononeka tena, tusitembee tukiwa na hofu na mashaka juu ya adui zetu tena, tusilie vitandani mwetu tena kutokana na mateso ya magonjwa, uchungu nk kwani tunaye aliyejitolea kuyabeba hayo yote na kututoa katika shida hizo zote na mateso tunayopitia ameshatangaza kwamba tunao uzima tele ni sisi kumkubali tu na kumkaribisha aje afanye mageuzi (mabadiliko)katika maisha yetu. Mkubali Yesu leo nawe upate burudiko na penzi la kweli lisilo na mawaa.

TUWE NA KIU YA NENO LA MUNGU KWANI NENO NDIO SILAHA YETU KUU, NA TUSOME NENO KWA BIDII BILA KUCHOKA.

Utukufu ni kwa Bwana

Soma hii itakutia moyo.

Am I welcome at your office?


I am leaving   Loveness's office now and I have left blessings, am I welcome in yours?
Receive me with love and send me to other offices/ houses so I can bless them.
Have a blessed day.
I am at the door, I knock. If someone hears my voice and opens the door, I will come in and eat with them at their table. Now He is walking to your house. Let Him bless you and send Him to someone else's house

Yesu anabisha mlango jamani tumfungulie aingie ndani ya maisha yetu abadili kila jambo atusafishe kwa damu yake tuwe safi na tuweze kuishi maisha ya furaha na amani siku zote za maisha yetu kwani bila yeye ufalme wa mbinguni hatuwezi kuuona. Katika Yohana 10:9 atatuambia hivi, MIMI NDIMI MLANGO MTU AKIINGIA KWA MIMI ATAOKOKA ATAINGIA NA KUTOKA NAYE ATAPATA MALISHO. Na pia Kwenye Yohana 14:6 anasema MIMI NDIMI NJIA NA KWELI NA UZIMA, MTU HAJI KWA BABA ILA KWA NJIA YA MIMI.
Yuko mlangoni mfungulie aingine afanye badiliko la kweli ndani ya maisha yako, usifanye shingo yako kuwa ngumu mwache atende mpokee awe Bwana na Mokozi wa maisha yako nawe hautajuta hata siku moja.

Asante sana Loveness kwa kunitumia, Mungu akubariki mpendwa.

Thursday, October 28, 2010

Daily Grace




Blessed In More Ways Than One
Romans 5:1
1Therefore, having been justified by faith, we have peace with God through our Lord Jesus Christ,

We are not trying to get peace with God. We already have peace with God, having been justified by faith through our Lord Jesus Christ. This peace with God brings us the peace of God, which guards our hearts and minds. (Philippians 4:7) Then, the peace of God inside us will also translate into the peace of God outside us — in all our outward circumstances.

Firstly, we will find that what would normally cause us much care and anxiety will no longer be the case. Secondly, not only will everything turn out well, but we will also be blessed in more ways than one. This is what happens when Jesus, the Prince of Peace, is our peace.

A church member, though stricken with cancer, enjoyed the peace of God, knowing that He was her healer. She later received confirmation from two different doctors that she had been completely healed of cancer. In addition to receiving her blessing of complete healing, she also received from her insurance company a critical illness claim of S$50,000!

Another church member, upon hearing news of her retrenchment, committed the matter to God, believing that He would work all things out for her, especially her loss of a regular income. Shortly after, she received her retrenchment package — a substantial five-figure sum. And within days of her retrenchment, she received calls from her contacts in the industry, offering her jobs, two of which were jobs in well-known multinational corporations (MNCs).

At that time, she had not yet started looking for a job, so the calls were unexpected but welcomed. She finally opted to work for one of the MNCs — a dream come true for her — at a salary that was 30 per cent more than her previous one! When she simply prayed, “Abba Father, I trust You to look after me,” and rested in His love and peace, she was abundantly blessed.

Beloved, because Jesus is your peace, you are blessed in more ways than one. Your soul will prosper. Your health will prosper. Your finances will prosper. Your loved ones will be taken care of. Your relationships will flourish. You will enjoy the favor of God. All because you have the Prince of Peace!

Wednesday, October 27, 2010

TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!

Tangazo: Ibada ya Jumapili tarehe 31/10/2010, Living Water Centre, Makuti - Kawe, haitakuwepo kutokana na Shughuli za Uchaguzi Mkuu Nchini. Badala yake, Ibada hii itakuwa siku ya Jumamosi tarehe 30/10/2010 saa tisa kamili mchana. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Karibu ujumuike nasi kuuombea Uchaguzi Mkuu.

SOMO LIMEWAFIKIA WALENGWA ASANTE MUNGU

NAMSHUKURU MUNGU KWANI TOKEA NIMETOA ILE YA MABUDA NA KUFANYA MAOMBI JUU YA WATU HAO SITUMIWI TENA UPUUZI WANANITUMIA ZENYE BADILIKO KILA SIKU HII NIMEIPENDA ZAIDI NDIO MAANA NIMEONA NISHEE NAWE MPENDWA KWANI HII INAFUNDISHA NA PIA INAKUFANYA UMWOMBEE NA MWINGINE HIVYO HATA UKIWATUMIA WATU ELFU MOJA UNAKUWA UMEFANYA KAZI NJEMA SANA YA KUTANGAZA NENO LWA MUNGU. ASHUKURIWE MUNGU WETU ANAYEZIDI KUWEKA ROHO YA UFAHAMU JUU YETU KILA IITWAPO LEO. MAOMBI BADO NAENDELEA KUFANYA NAAMINI WATU WENGI WATATOKA KATIKA ULE UJINGA.

( Nanii yenyewe kuuubwa imebidi nikatishe na baadhi sikuweza kuweka picha zilikuwa zinagoma kucopy na kupaste si unajua tena ya budha hata haikunisumbua hii yenye mambo ya Mungu mazuri shetani ananijaribu imani yangu hahah akadhani nitashindwa kuitoa na nimeitoa hivyo hivyo mradi message imeeleweka na watu wamepata ujumbe ambao ulikuwa ni muhimu kuliko vyote neno la Mungu na maombi) Karibu.


HANDY LITTLE CHART - GOD HAS A POSITIVE ANSWER:    
YOU SAY   GOD SAYS   BIBLE VERSES  
You say:  'It's impossible'   God says:   All things are possible   (Luke 18:27)  
You say:  'I'm too tired'   God says:  I will give you rest   (Matthew 11:28-30)  
You say:  'Nobody really loves me'   God says:  I love you   (John 3:1   6 & John 3:34 )  
You say:  'I can't go on'   God says:  My grace is sufficient (II Corinthians 12:9 & Psalm 91:15)  
You say:  'I can't figure things out'   God says:  I will direct your steps   (Proverbs 3:5-   6)  
You say:  'I can't do it'   God says:  You can do all things   ( Phil ippians 4:13)  
You say:  'I'm not able'   God says:  I am able   (II Corinthians 9:8)  
You say: 'It's not worth it' God says:  It will be worth it   (Roman 8:28 )  
You say:  'I can't forgive my self'   God says:  I Forgive you   (I John 1:9 & Romans 8:1)  
You say:  'I can't manage'   God says:  I will supply all your needs   ( Phil ippians 4:19)  
You say:  'I'm afraid'   God says:  I have not given you a spirit of fear   (II Timothy 1:7)  
You say:  'I'm always worried and frustrated'   God says:  Cast all your cares on ME   (I Peter 5:7)  
You say:  'I'm not smart enough'   God says:  I give you wisdom   (I Corinthians 1:30)  
You say:  'I feel all alone'   God says:  I will never leave you or forsake you   (Hebrews 13:5)  

PASS THIS ON.   YOU NEVER KNOW WHO MAY BE IN NEED  

Father, God, bless all my friends in whatever it is that you know they may need this day! And may their lives be full of your peace, prosperity and power as they seek to have a closer relationship with you. Amen.

Now send it on to other people. Within hours you caused a multitude of people to pray for other people. 
P..S.. More is better; who else do you know that that needs prayer?
Make it a wonderful day!!!  

UPENDO WA KWELI

BWANA APEWE SIFA SANA,
NAZIDI KUMTUKUZA MUNGU KWA WEMA NA FADHILI ZAKE ANAZONITENDEA SIKU HADI SIKU KATIKA MAISHA YANGU. KATIKA POST ZANGU ZA NYUMA NILIAHIDI KUWA NITAENDELEA NA SOMO LA UPENDO WA KWELI NA HATA (WASWAHILI WANASEMA AHADI NI DENI) NA KWA VILE NILIAHIDI LAZIMA NITIMIZE AHADI ILI DHAMIRI YANGU IWE NJEMA NA SAFI.

TUENDELEE KUMSIFU MUNGU NA KUMTUKUZA KWA UKUU WAKE NA UAMINIFU WAKE NDANI YA MAISHA YETU KWANI BILA YEYE SISI HATUWEZI LOLOTE. TUNAHITAJI KUONGOZWA NA YEYE ILI TUWEZE KUSHINDA VIKWAZO NA MAJARIBU YALETWAYO NA YULE MSHITAKI WETU IBILISI.

TUWE MAJASIRI NA WENYE KUJIKINGA TUSIDHURIWE MIOYO YETU KWANI KWENYE MOYO NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA UCHUNGU, MAWAZO MABAYA, CHUKI, FITINA, HOFU n.k CHANZO CHA KUZALIWA DHAMBI.
TUWE WASOMAJI WA NENO LA MUNGU KILA WAKATI TUNAPOWIWA KUFANYA HIVYO NA TUKABIDHI MAISHA YETU KWA ROHO MTAKATIFU YEYE AWE NDIYE KIONGOZI KATIKA KILA NYANJA YA MAISHA YETU.

HIVYO KAA MKAO WA KULA CHAKULA CHA UZIMA KWA HABARI YA UPENDO WA KWELI

MZIDI KUBARIKIWA NA BWANA

Tuesday, October 26, 2010

Daily Grace by Joseph Prince



MAALUM KWA NDUGU ZANGU KATIKA BWANA AMBAO JANA NIMEWATUMIA NENO LA MUNGU KUHUSU HABARI YA MSAMAHA LEO NIMEKUTA HII KUTOKA KWA JOSEPH PRINCE NIKASEMA HALELUYA MUNGU NI MKUU KWANI NIKO ROHONI NILIYOONYESHWA KUWAAMBIA NDIO NA MTUMISHI WA MUNGU AMETOA KAMA UJUMBE WA LEO. TUJIFUNZE KUSAMEHE NAWAPENDA SANA WADAU WA BLOG YANGU MUNGU AWAPE HAJA YA MIOYO YENU. MISTARI ZAIDI NAWATUMIA KWENYE E-MAIL. MBARIKIWE NA BWANA.

Forgive And Let God Do The Rest
Ephesians 4:32
32And be kind to one another, tenderhearted, forgiving one another, even as God in Christ forgave you.

People like to say, “I can forgive, but I cannot forget.” Have you heard that before? Now, in the first place, nowhere in the Bible does God tell you to forgive and then to forget. It is not in the Bible! The devil is adding something here to make the whole thing burdensome.

God only tells us to forgive because God in Christ has forgiven us a debt we cannot pay. When we do this, we do ourselves a favor because harboring bitterness and unforgiveness can sometimes destroy our health!

So just forgive and let God take care of the rest. When you really forgive, sometimes, He makes you forget. But sometimes, you still remember the incident because it was a major thing in your life. Yet, when you look back at it, the pain is no more there. The sting is gone and you are not bitter.

Joseph had forgiven his brothers before they came and bowed before him. He remembered what they did to him, but he did not remember it with bitterness. (Genesis 50:15–21) So you may remember the incident, but the bitterness is gone because you have put the cross in the picture — “God in Christ forgave me. Daddy, I forgive you. Mama, I forgive you. My cousin, I forgive you.”

When you forgive, forgive by faith, not by your feelings. We walk by faith, not feelings. (2 Corinthians 5:7) Some people are waiting for feelings — “I am waiting, Father, for the right emotion to come on me to forgive that person.” That “right emotion” may never come!

No, forgive by faith, and do it once and for all. Spend time in prayer. Take out your diary and write it down: “Father, I bring this person before you. You know what he did to me. Father, as You forgave me through Jesus’ cross, even though I did not deserve it, by faith, I now forgive this person and I let my anger against him go in Jesus’ name. Amen!”

Once you forgive by faith, you will see the sting of bitterness removed from your heart. You will experience the peace and joy of God filling your mind, and see a greater measure of wholeness in your body!

Monday, October 25, 2010

JE WAJUWAA NO.5 (maalumu kwa wanywaji wa ile goldish thing)

Biblia inasema Hivi:

Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi. Na akosae kwa vitu hivyo hana hekima!!!!!

Jibu: tuache jamani haya mambo kwani tumeambiwa tusilewe kwa mvinyo tena bali tujazwe Roho Mtakatifu.
Akina Petro walipojazwa Roho Mtakatifu wakaanza kunena kwa lugha waliaambiwa kuwa wamelewa lakini Petro aliwaambia je yawezekama watu kulewa saa tatu za mchana?? Japo hii kwa baadhi ya maeneo na baadhi ya watu TZ haifanyi kazi watu wanalewa toka saa moja asubuhi mhu kazi tunayo jamani Mungu uturehemu. Soma Matendo 2:1-21

Friday, October 22, 2010

Daily Grace by Joseph Prince

( I love this message )


Let Not Your Heart Be Troubled
John 14:27
27Peace I leave with you, My peace I give to you… Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.

The night before Jesus died, He gave His peace to His disciples — “Peace I leave with you, My peace I give to you…” This peace was not just for His disciples, but also for us today. We have His peace.

The moment you believe in Jesus Christ, He who is the Prince of Peace comes to live inside you. And when the Prince of Peace resides in you, every blessing that you will ever need pertaining to your soundness and wholeness is already inside you.

“Pastor Prince, if this is true, then why do I still see problems in my health, finances, family and relationships?”

The answer is a troubled heart. That is why after Jesus said, “Peace I leave with you,” He said, “Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.”

A troubled and fearful heart works like fingers that clamp down hard on a water hose. The supply of water is flowing from the tap, but little or nothing is coming out at the other end of the hose. God’s ever-present supply of blessings toward you is like the water flowing freely from the tap. But you don’t see the blessings when you allow your heart to be gripped by worry or fear.

So when fearful, anxious thoughts come, remind yourself of Jesus’ words: “Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.” Even when things appear to get worse, say, “Lord, I refuse to worry about this. In the midst of all this, I see the finished work of Christ. He said, ‘It is finished!’ So my child’s healing is accomplished. My marriage is blessed. My debts are cleared. I will let not my heart be troubled by these things.”

Beloved, I cannot “let not” for you. Your family and friends cannot “let not” for you. Only you can “let not your heart be troubled”. So guard your heart from being troubled. You don’t have to guard your career, reputation, children or even health. When you guard your heart, God will guard everything else for you!

HII JE NI KWELI?

Wapendwa naomba msome yanayojiri chini, aliyenitumia safari hii ni afadhali namshukuru kwani naona anaeneza Injili vizuri lakini hayo mengineyo sina uhakika nayo kwa sababu kuna kanuni ya Mungu aliyoweka kama mtu unataka ubarikiwe tena milele sasa sielewi kama hizi zinakwendaje kwendaje. Kwa kueneza Neno la Mungu na kuwapa watu motisha wa kusoma neno ni vizuri tena linajiuza lenyewe mengineyo mhuuu!!!!

Tushauriane!!!!!

THIS IS A TEST.
 
DOES GOD COME FIRST IN YOUR LIFE?
 
IF SO, STOP WHAT YOUR DOING & SEND TO 12 PEOPLE NOW....
 
WATCH WHAT HE DOES!  
Prophecy to you
PHIL. 4:13
THIS IS MY PROPHECY TO YOU.. BEFORE THE 29TH OF THIS MONTH OF
JUBILATION, THERE WOULD BE A GREAT CHANGE IN YOUR LIFE, AS THERE WOULD BE A DIVINE REWARD FOR ALL YOUR HARD WORK, AND MY GOD WILL LEAD YOU OUT OF YOUR PRESENT PRISON EXPERIENCE TO YOUR PALACE AS HE DID FOR JOSEPH.
AND YOU SHALL TESTIFY THAT HE IS LORD !!! IF YOU BELIEVE THIS SEND
THIS MESSAGE TO EVERYBODY YOU KNOW EVEN ME AND SEE WHAT THE LORD WILL DO


Please pick up your Bible and read psalm 51 and 91. ( Nimependa hapa vyema sana na kote nilikohighlight red huku kwingine ni uhamashishaji tu au mwasemaje)

Jesus never fails, Send this to every body on ur list. U'll receive
good news 2morrow, Don't take it as a joke, u can't tell when GOD is
testing ur faith
AMEN

Thursday, October 21, 2010

DAILY GRACE BY JOSEPH PRINCE



The Promise Of The Father
Acts 1:8
8But you shall receive power when the Holy Spirit has come upon you; and you shall be witnesses to Me in Jerusalem, and in all Judea and Samaria, and to the end of the earth.”

Before Jesus went back to heaven, He told His disciples to “wait for the Promise of the Father”. (Acts 1:4) There are thousands of promises in the Bible, so which promise was He referring to?

The early church knew which promise Jesus was referring to because He had told His disciples, “Do not leave Jerusalem, but wait for the Promise of the Father, which you have heard Me speak about. For John truly baptized with water, but you shall be baptized with the Holy Spirit not many days from now.” (Acts 1:4–5) Jesus was referring to the baptism in the Holy Spirit with speaking in tongues. (Acts 2:1–4)

Jesus wants you to know the value of the Promise of the Father because He said, “You shall receive power when the Holy Spirit has come upon you; and you shall be witnesses to Me...” He did not say, “You shall do witnessing,” but “You shall be witnesses”. In other words, your very person will be a witness to Him!

This is because the power you receive when you are baptized in the Holy Spirit is the same power that so anointed Peter that the sick were laid on the streets for his shadow to fall on them and heal them. (Acts 5:15) Even handkerchiefs and aprons from Paul’s body were so saturated with the anointing of the Spirit that when they touched the sick, people witnessed diseases and evil spirits leaving the sick! (Acts 19:12)

That same power caused a Holy Spirit-baptized church member, who prayed in tongues, to experience God’s healing power when he laid hands on his mother who was in an advanced stage of cancer. And because she was healed, she became a witness of the love and power of God to her friends and unbelieving relatives.

Beloved, when you are baptized in the Holy Spirit, you will be a witness to others that no problem, trial, disease or sickness is a match for the power of the Spirit in you!

MWENYEZI MUNGU ATUHURUMIE SANA SANA SANA NA ATUREHEMU

Dear All
They say whoever receives this will receive an abundance 
of unexpected money or some very good news.


You have to forward this to 20 people within 20 minutes of receiving this.

JAMANI JAMANI JAMANI BADO KUNA WATU WANAAMINI MAMBO KAMA HAYA KUSEMA KWELI TUNAMDHALILISHA MUNGU WETU KWELI NAAMINI AKIONA VITU KAMA HIVI ANATAMANI AANGAMIZE KILA KIUMBE KATIKA HII DUNIA KWELI KWELI MTU NA AKILI ZAKO WAWEZA AMINI KITU KAMA HIKI KITAKULETEA FEDHA AU BADILIKO !!! MIMI NIMESHANGAA KWELI KWELI KUONA WATU WALIVYOKAZANA KUWATUMIA WATU ISHIRINI ISHIRINI NA HUYO ALIYENITUMIA IMEBIDI NIMWOMBEE SANA KWANI SIJUI HATA AMEWAZA NINI KUNITUMIA KITU KAMA HIKI. NIMETAMANI SANA KUTOA E-MAIL ZA WATU WAVYOTUMIANA LAKINI NAONA NIWAHIFADHI.

JE TWAWEZA KUUONA MKONO WA BWANA NDANI YA MAISHA YETU KAMA TUTAKUWA TUTAFANYA MAMBO KAMA HAYA. WAKRISTO WENZANGU HABARI ZA SHADRAKA, MESHAKI NA ABEDNEGO KWENYE DANIEL TUNAZISOMA??? HATA SUNDAY SCHOOL JAMANI HUWA TUNAFUNDISHWA KASTORY KA HAWA WATU WA MUNGU.

JAMANI TURUDI KWENYE MAGOTI TUMLILIE MUNGU ATUHURUMIE NA KUTUSAMEHE SANA NA KUTUPONYA SISI NA VIZAZI VYETU MPAKA KIZAZI CHA NNE.
(HOSEA 4:6 WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA, KWA KUWA WEWE UMEYAKATAA MAARIFA, MIMI NAMI NITAKUKATAA WEWE, USIWE KUHANI KWANGU, KWA KUWA UMEISAHAU SHERIA YA MUNGU WAKO, MIMI NAMI NITAWASAHAU WATOTO WAKO) oooh Mungu wangu unihurumie na utuhurumie sisi wanadamu, Fedha, dhahabu na vitu vyote vyatoka kwako wewe tuuu.
Tatizo tumepungukiwa na NENO jamani NENO LA MUNGU watumishi wanakazana kutufundisha lakini sisi tunakazana kuzibeba Biblia tu kama fashion kilichomo ndani hata hatukijui Bibilia inafunguliwa jumapili kwa jumapili. Tuendelee kumsihi Bwana azidi kuturehemu wapendwa.

Kusema kweli nimepondeka moyo sina la kusema zaidi sana mpendwa uwapo kwenye maombi ombea watu wanaoamini vitu hivi wapate kufunguliwa macho na vifungo walivyoko. Tuanze na aliyenitumia hii jamani anahitaji maombii nitawatumia majina ya wale wotewaliotumiana tuwaombeee sana sana

Wednesday, October 20, 2010

Mwaliko! Mwaliko! Brooklyn Tabernacle Church

God will encourage you this Sunday afternoon at the 3:00 PM service. 24th Oct. 2010
Come expecting the answer you need to help face life’s many problems.
Special music and a message that will warm your hearts - DON’T MISS IT!

Pastor Jim Cymbala

Namshukuru Mungu kunijalia (nimeliishi andiko)No. 1

Namshukuru Mungu kunijalia watoto wenye upendo, hekima, heshima na wenye hofu ya Mungu wangali wadogo. Mwenyezi Mungu uzidi kuwabariki na kuwazidishia katika kila jambo ndani ya maisha yao.
Brando and Junior

Mkono wa kulia ndio mwanangu mwenyewe kijana mtanashati hana haraka hataki makuu
kakulia tie yake na pozi la ukweli Junior akiwa na beste wake Brando kwenye Harusi ya Uncle (Baba Brando)

Hapa nikiwa na sisteri wangu hahaha akiwa na miaka miwili kwenye harusi ya uncle yeye hakuweza kusimamia kwa sababu fujo yake ilikuwa babu kubwa sasa kakua katulia. Amejaa hekima huyo namshukuru Mungu sana na naomba Mungu amzidishie.

More pic to come wakiwa na nduguze na walivyokuwa sasa. Nimeliishi andiko jamani namshukuru Mungu "zaeni mkaongezeke muijaze nchi' bado maandiko mengine naishi si hili tu naamini Joshua 1:8 nitalitimiliza. Amina Amina

JE WAJUWAAA NO. 4 MARAFIKI ( MASHOSTI)

Biblia yangu inasema hivii:

AJIFANYIAYE RAFIKI WENGI NI KWA UANGAMIVU WAKE MWENYEWE. LAKINI YUPO RAFIKI AAMBATANAYE NA MTU KULIKO NDUGU.

Tuesday, October 19, 2010

Expect the Goodness of God Today

Dear Friend,
God wants you to live and experience a good life — and it starts today with you having a confident expectation of good. Jesus came and did what He did to give you the highest form of life — God's life, "the zoe life" and for you to have it in abundance!
You may feel like you don't deserve this good life. You may feel like you have to do something to show that you are worthy of this kind of favor. We all know we've made mistakes, so we have this thought at the back of our minds that tells us that we need to be punished. In other words, we don't qualify for the good life.
Now, when you believe this, you find yourself waiting for punishment to show up in your life. And the moment something bad happens, you tell yourself, "This is judgment for my sin. I deserve this."
But Jesus came to set you free from a fearful expectation of judgment. He wants you to wake up every day not afraid of what might happen, but anticipating His goodness, mercy and superabundant grace in your life!
Beloved, because of the finished work of the cross, you DON'T "get bad" from God when you make mistakes. The reality, based on your own merits, is that you deserve none of the blessings but all of the curses that God described in Deuteronomy 28. So, when you make a mistake or have missed it, that is when you need to run to Jesus to receive from Him the grace to overcome every mistake and failing (Romans 6:14).
But because of the divine exchange that happened at the cross, you are not getting what you deserve!
In God's eyes, it's already been forever settled — you don't receive the penalty of your sin, but rather, you receive the reward of Jesus' righteousness and all the good benefits that come from it because of Christ's sacrifice at the cross.
So today my friend, you live with a decision that will affect the quality of your life:
Are you going to live with a fearful expectation of judgment? Or are you going to live with a confident expectation of good?
It's my prayer that you would experience the life Jesus has for you — the same quality of life that God experiences, "the zoe life". It's His gift to you, not because you've earned it, but because you are His beloved child. I'm praying for you and trusting that you'll receive your own revelation of this truth in your heart.
Confidently expecting the goodness of God,

Saturday, October 16, 2010

WAMEJAA TUMAINI NA WANAAMANI No. 3

Wanafuraha ya ajabu hawana mawazo wanaamani haijalishi hali ngumu kiasi gani ya maisha wanapitia burudani lazima iwepo. Tuweni kama watoto wadogo jamani hata biblia yetu inatuambia.


VAZI LA KWENDEA KANISANI

Haya wapendwa ahadi ni deni vivazi hivi hapanaaaa vya kanisani (hebu piga picha umekaa mbele na kivazi hizi inakuwaje jamani) mkao utakavyokuwa unahangaika haya mara Roho Mtakatifu anakushukia si ndio kazi itakuwa kweli kweli kwa maana itabaidi wamama wawe na kazi ya ziada ya kukufunika kila wakati. Tujiangalie na vivazi vya kuendea kanisani.

Hivi ni vitenge lakini mashono yake ni mazuri ila si kama tulivyozoea kuburuzaa yanafaa sehemu nyingine lakini si kanisani.

Sisteri naye kapendeza lakini bado kuendea kanisani itakuwa kwazo kwa wengine. Alau ifike kwenye magoti hivi japo kwa wengine bado ni kikwazo lakini ni heri kuliko cha juu juu namna hii ingawa ndio design yake.


















.
Bibie kapendeza kweli lakini kanisani nooo big noooo. Nayo kama ya hapo juu ingefika kunako kwenye magoti ingependeza zaidi kwa mtoko wa kanisani.

VAZI LIFAALO BASI TUANGALIE ANGALAU UKIKAA AKHA MWENYEWE UNAJIACHIA NO FEAR NO MASHAKA MASHAKA.


Hapa ya bluu ndio azima yangu haswa kwa wale kama mimi tusiopenda kubaanwa na manguo ni nzuri na kuburuza ndio huko ila hii hata ikifika kunako magoti sio mbaya sana jamani au mwasemaje

Hii ni nzuri kiasi chake si mbaya japo imekaa mkao fulani hivi lakini kwa masister du si mbaya kwani aweza jirusha bila taabu.

Ukiacha hayo makofia kwa maana mengine ni makubwaa hata ukikaa mbele mwenzio unakuwa unamziba otherwise kwa kanisani nguo hizi ni bomba sana bila hiyana mtoto wa kiafrica unatoka chicha.








African touch : mwawaona mamas wakiafricaaaaa?

more pict to come.........
(Kwa hisani ya Zeze na The light)

AM BACK

BWANA APEWE SIFA SANA SANA!

POLENI SANA NDUGU WAPENDWA MAMBO MENGI KIDOGO ILA NIMERUDI NA NGUVU ZOTE NA UPAKO WA ROHO MTAKATIFU. KAENI MKAO WA KULA CHAKULA CHA UZIMA. KWA WALE MLIONITUMIA E-MAIL KUNIAMBIA KULIKONI MBONA KIMYAAA SASA NIMEREJEA. KARIBU SANA NA MBARIKIWE NA BWANA YESU ALIYE HAI.

Friday, October 1, 2010

JE WAJUAAA? NO3 (Maalumu kwa Wababa)

Biblia inatuambia...

"APATAYE MKE APATA KITU CHEMA, NAYE ATAJIPATIA KIBALI KWA BWANA."

JIBU: mpende mkeo kama unavyojipenda wewe mwenyewe. Efeso 5:28

Daily Grace by Joseph Prince


Not Satisfied With Just Being Saved
Genesis 12:7
7Then the Lord appeared to Abram and said, “To your descendants I will give this land.” And there he built an altar to the Lord, who had appeared to him.

I don’t know about you, but I am not satisfied with just knowing that I am righteous by faith. I also want to get to know the One who made me righteous. I want to have an intimate relationship with my Savior!

Abraham was such a man. He was righteous by faith, but he also had a close walk with God and was blessed by God in all things. (Genesis 24:1) His nephew Lot, on the other hand, although righteous too (2 Peter 2:7–8), had no heart for God. He ended up losing a lot when Sodom, the city he dwelt in, was destroyed along with Gomorrah. He was saved by the skin of his teeth!

My friend, do you want to be a Christian like Lot, righteous but always finding yourself in trouble, or do you want to be a righteous-and-blessed Christian like Abraham? Then, like Abraham, have a heart for God.

From place to place, Abraham would build an altar to the Lord. And in between altars, he grew very rich! (Genesis 13:2) There is no biblical record, however, of Lot ever building an altar to the Lord.

What is an “altar” in today’s context? It is a place where you know that you have a close relationship with God. For example, when my late father was in the hospital, I was worried and did not know what to do. I remember driving down the road and crying. After a while, I just threw my cares to the Lord. When I reached the hospital, I just laid my hands on my father and said, “Be healed in Jesus’ name.” And he was healed!

Till today, I can remember the place where I had cast my cares to the Lord and leaned on His love for me. That is my “altar”. And it is not the only one.

We have got to have this kind of relationship with God, one full of “altars” that remind us of His love, goodness and faithfulness. Let’s not live the Christian life like Lot, saved by the skin of our teeth. Let’s walk closely with God as Abraham did, and be richly blessed in every area of our lives!