Watoto wa Mungu hawa ni wa Moshi na ninao wengine wa Kinondoni Hananasifu - DSM na LWC Kawe DSM more pictures to come stay tune mwenye kutaka kuwasaidiaaa anakaribishwa tuwasiliane kwa njia ya e-mail tuone jinsi ya kuwawezesha hawa viongozi, watumishi wa kesho. Barikiwa
Watoto waliojaa matumaini. Huyu mmoja kama hajashiba vile?
Na mwingine anaona kama yeye hatapewa daftari vile anasubiri kwa haaamu
Mungu ni mwema sana jamani aliposema atakuwa baba wa Yatima analidhihirisha
neno lake sasa. Wakirudi nyumbani wanakung'uta tu miguu wanalala kitumbo ndiii.
Tuzidi kuwapenda na kuwasaidia.