HATA IMEKUWA MTU AKIWA NDANI YA KRISTO AMEKUWA KIUMBE KIPYA, YA KALE YAMEPITA TAZAMA YAMEKUWA MAPYA!!2KOR. 5:17
Wednesday, October 27, 2010
TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Tangazo: Ibada ya Jumapili tarehe 31/10/2010, Living Water Centre, Makuti - Kawe, haitakuwepo kutokana na Shughuli za Uchaguzi Mkuu Nchini. Badala yake, Ibada hii itakuwa siku ya Jumamosi tarehe 30/10/2010 saa tisa kamili mchana. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Karibu ujumuike nasi kuuombea Uchaguzi Mkuu.
SOMO LIMEWAFIKIA WALENGWA ASANTE MUNGU
NAMSHUKURU MUNGU KWANI TOKEA NIMETOA ILE YA MABUDA NA KUFANYA MAOMBI JUU YA WATU HAO SITUMIWI TENA UPUUZI WANANITUMIA ZENYE BADILIKO KILA SIKU HII NIMEIPENDA ZAIDI NDIO MAANA NIMEONA NISHEE NAWE MPENDWA KWANI HII INAFUNDISHA NA PIA INAKUFANYA UMWOMBEE NA MWINGINE HIVYO HATA UKIWATUMIA WATU ELFU MOJA UNAKUWA UMEFANYA KAZI NJEMA SANA YA KUTANGAZA NENO LWA MUNGU. ASHUKURIWE MUNGU WETU ANAYEZIDI KUWEKA ROHO YA UFAHAMU JUU YETU KILA IITWAPO LEO. MAOMBI BADO NAENDELEA KUFANYA NAAMINI WATU WENGI WATATOKA KATIKA ULE UJINGA.
( Nanii yenyewe kuuubwa imebidi nikatishe na baadhi sikuweza kuweka picha zilikuwa zinagoma kucopy na kupaste si unajua tena ya budha hata haikunisumbua hii yenye mambo ya Mungu mazuri shetani ananijaribu imani yangu hahah akadhani nitashindwa kuitoa na nimeitoa hivyo hivyo mradi message imeeleweka na watu wamepata ujumbe ambao ulikuwa ni muhimu kuliko vyote neno la Mungu na maombi) Karibu.
HANDY LITTLE CHART - GOD HAS A POSITIVE ANSWER:
YOU SAY GOD SAYS BIBLE VERSES
You say: 'It's impossible' God says: All things are possible (Luke 18:27)
You say: 'I'm too tired' God says: I will give you rest (Matthew 11:28-30)
You say: 'Nobody really loves me' God says: I love you (John 3:1 6 & John 3:34 )
You say: 'I can't go on' God says: My grace is sufficient (II Corinthians 12:9 & Psalm 91:15)
You say: 'I can't figure things out' God says: I will direct your steps (Proverbs 3:5- 6)
You say: 'I can't do it' God says: You can do all things ( Phil ippians 4:13)
You say: 'I'm not able' God says: I am able (II Corinthians 9:8)
You say: 'It's not worth it' God says: It will be worth it (Roman 8:28 )
You say: 'I can't forgive my self' God says: I Forgive you (I John 1:9 & Romans 8:1)
You say: 'I can't manage' God says: I will supply all your needs ( Phil ippians 4:19)
You say: 'I'm afraid' God says: I have not given you a spirit of fear (II Timothy 1:7)
You say: 'I'm always worried and frustrated' God says: Cast all your cares on ME (I Peter 5:7)
You say: 'I'm not smart enough' God says: I give you wisdom (I Corinthians 1:30)
You say: 'I feel all alone' God says: I will never leave you or forsake you (Hebrews 13:5)
PASS THIS ON. YOU NEVER KNOW WHO MAY BE IN NEED
Father, God, bless all my friends in whatever it is that you know they may need this day! And may their lives be full of your peace, prosperity and power as they seek to have a closer relationship with you. Amen.
Now send it on to other people. Within hours you caused a multitude of people to pray for other people.
P..S.. More is better; who else do you know that that needs prayer?
Make it a wonderful day!!!

UPENDO WA KWELI
BWANA APEWE SIFA SANA,
NAZIDI KUMTUKUZA MUNGU KWA WEMA NA FADHILI ZAKE ANAZONITENDEA SIKU HADI SIKU KATIKA MAISHA YANGU. KATIKA POST ZANGU ZA NYUMA NILIAHIDI KUWA NITAENDELEA NA SOMO LA UPENDO WA KWELI NA HATA (WASWAHILI WANASEMA AHADI NI DENI) NA KWA VILE NILIAHIDI LAZIMA NITIMIZE AHADI ILI DHAMIRI YANGU IWE NJEMA NA SAFI.
TUENDELEE KUMSIFU MUNGU NA KUMTUKUZA KWA UKUU WAKE NA UAMINIFU WAKE NDANI YA MAISHA YETU KWANI BILA YEYE SISI HATUWEZI LOLOTE. TUNAHITAJI KUONGOZWA NA YEYE ILI TUWEZE KUSHINDA VIKWAZO NA MAJARIBU YALETWAYO NA YULE MSHITAKI WETU IBILISI.
TUWE MAJASIRI NA WENYE KUJIKINGA TUSIDHURIWE MIOYO YETU KWANI KWENYE MOYO NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA UCHUNGU, MAWAZO MABAYA, CHUKI, FITINA, HOFU n.k CHANZO CHA KUZALIWA DHAMBI.
TUWE WASOMAJI WA NENO LA MUNGU KILA WAKATI TUNAPOWIWA KUFANYA HIVYO NA TUKABIDHI MAISHA YETU KWA ROHO MTAKATIFU YEYE AWE NDIYE KIONGOZI KATIKA KILA NYANJA YA MAISHA YETU.
HIVYO KAA MKAO WA KULA CHAKULA CHA UZIMA KWA HABARI YA UPENDO WA KWELI
MZIDI KUBARIKIWA NA BWANA

Subscribe to:
Posts (Atom)