TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Tangazo: Ibada ya Jumapili tarehe 31/10/2010, Living Water Centre, Makuti - Kawe, haitakuwepo kutokana na Shughuli za Uchaguzi Mkuu Nchini. Badala yake, Ibada hii itakuwa siku ya Jumamosi tarehe 30/10/2010 saa tisa kamili mchana. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Karibu ujumuike nasi kuuombea Uchaguzi Mkuu.
No comments:
Post a Comment