Wednesday, October 20, 2010

Mwaliko! Mwaliko! Brooklyn Tabernacle Church

God will encourage you this Sunday afternoon at the 3:00 PM service. 24th Oct. 2010
Come expecting the answer you need to help face life’s many problems.
Special music and a message that will warm your hearts - DON’T MISS IT!

Pastor Jim Cymbala

Namshukuru Mungu kunijalia (nimeliishi andiko)No. 1

Namshukuru Mungu kunijalia watoto wenye upendo, hekima, heshima na wenye hofu ya Mungu wangali wadogo. Mwenyezi Mungu uzidi kuwabariki na kuwazidishia katika kila jambo ndani ya maisha yao.
Brando and Junior

Mkono wa kulia ndio mwanangu mwenyewe kijana mtanashati hana haraka hataki makuu
kakulia tie yake na pozi la ukweli Junior akiwa na beste wake Brando kwenye Harusi ya Uncle (Baba Brando)

Hapa nikiwa na sisteri wangu hahaha akiwa na miaka miwili kwenye harusi ya uncle yeye hakuweza kusimamia kwa sababu fujo yake ilikuwa babu kubwa sasa kakua katulia. Amejaa hekima huyo namshukuru Mungu sana na naomba Mungu amzidishie.

More pic to come wakiwa na nduguze na walivyokuwa sasa. Nimeliishi andiko jamani namshukuru Mungu "zaeni mkaongezeke muijaze nchi' bado maandiko mengine naishi si hili tu naamini Joshua 1:8 nitalitimiliza. Amina Amina

JE WAJUWAAA NO. 4 MARAFIKI ( MASHOSTI)

Biblia yangu inasema hivii:

AJIFANYIAYE RAFIKI WENGI NI KWA UANGAMIVU WAKE MWENYEWE. LAKINI YUPO RAFIKI AAMBATANAYE NA MTU KULIKO NDUGU.