Biblia inasema Hivi:
Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi. Na akosae kwa vitu hivyo hana hekima!!!!!
Jibu: tuache jamani haya mambo kwani tumeambiwa tusilewe kwa mvinyo tena bali tujazwe Roho Mtakatifu.
Akina Petro walipojazwa Roho Mtakatifu wakaanza kunena kwa lugha waliaambiwa kuwa wamelewa lakini Petro aliwaambia je yawezekama watu kulewa saa tatu za mchana?? Japo hii kwa baadhi ya maeneo na baadhi ya watu TZ haifanyi kazi watu wanalewa toka saa moja asubuhi mhu kazi tunayo jamani Mungu uturehemu. Soma Matendo 2:1-21