Bwana Asifiwe wapenzi samahani sana kwa kukaa kimya kwa kipindi kirefu ni majuku tu ya hapa na pale lakini yote i mema kwa Bwana. Natumaini nyoote hamjambo na namshukuru Mungu sana kwa ajili yenu kwani mwaka huu nauanza kwa nguvu mpya kwa maana nimefurika kweli kweli na nimejaa Roho wa Mungu niko tayari kuwalisha, kuwanywesha na kuwajaza sawa sawa na Roho wa Bwana atakavyopenda na atakavyoniwezesha.
Karibu tuungane nawapenda mbarikiwe sana.