Thursday, November 11, 2010

SIKU YA WAMAMA WA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE


Mtumishi wa Mungu Mama Lilian Ndegi
Mpakwa Mafuta wa Bwana Mama Lilian Ndegi akiwa na baadhi ya wa mama wa LWC-Kawe
Wamama wakiwa na zawadi mbali mbali kwa ajili ya watumishi wanaojitolea kwa hali na mali wa LWC Makuti Kawe.

Mtumishi wa Mungu Mwl. Joyce Ramadhan akitoa machache siku ya Sherehe ya wamama LWC - Kawe
Wamama walipendeza kweli kweli na sare yao maalum kwa ajili ya siku hiyo.

Siku hiyo ilifana sana sana, pia kulikuwa na maombezi ya mtu mmoja mmoja na watu wengi walifunguliwa katika vifungo mbalimbali na Mungu alionekana akitenda. Mungu azidi kuwatia nguvu wamama wa LWC na msichoke katika kufanya kazi ya Bwana.

No comments: