Je waifahamu Living Water Centre Ministry iliyopo Kawe Dar Es Salaam.
Kutana na watumishi wa Mungu wapakwa mafuta wa Bwana ambao Roho Mtakatifu anawatumia kweli kweli. Kwa habari zaidi mafundisho sahihi ya neno la Mungu maombi na maombezi basi fika kanisani LWC upate kubarikiwa, kufunguliwa na upate kuijua kweli na hiyo kweli ikuweke huru.
Mtumishi wa Mungu Aunty Peace akiombea
Maombezi yakifanyika kanisani LWC
Maombezi yakiendelea kanisani LWC - Makuti Kawe
Karibu katika huduma ya Living Water Centre:
RATIBA NA MATUKIO MUHIMU YA LIVING WATER CENTRE MINISTRY
Tarehe | : | 26/09/2010 | |
Muda kuanzia | : | Saa Tatu na Nusu Asubuhi | |
Tukio | : | Ibada ya Neno na Kusifu |
Mahali | : | Kanisani, Living Water Centre - Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku za Alhamisi | |
Muda kuanzia | : | Saa Nne Usiku | |
Tukio | : | Mkesha Maalum kwa Mabinti - Na. Mchungaji Paschal. |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku za Ijumaa | |
Muda kuanzia | : | Saa Nne Usiku | |
Tukio | : | Mkesha Maalum kwa Vijana wa Kiume- Na. Mchungaji Paschal. |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku za Ijumaa | |
Muda kuanzia | : | Saa Saba Mchana | (1:00pm) |
Tukio | : | Ibada ya Mjini Dar Es Salaam, kwa Wafanyakazi na Wenyeji wote. |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku za Jumanne | |
Muda kuanzia | : | Saa Nne Asubuhi hadi Saa Sita na Nusu | (10:00am - 12:30pm) |
Tukio | : | Darasa la kuukulia wokovu, Maombezi na ushauri wa Mtu mmoja mmoja hadi saa 11.Jioni. |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku za Jumatano hadi Ijumaa | |
Muda kuanzia | : | Saa Tisa Alasiri hadi Kumi na Mbili jioni | (3:00pm - 6pm) |
Tukio | : | Mazoezi ya Timu ya Kusifu na Kuabudu |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
Tarehe | : | Kila siku ya Ijumaa ya Mwisho wa Mwezi | |
Muda kuanzia | : | Saa Nne Usiku | (10:00pm - asubuhi) |
Tukio | : | Mkesha wa Vijana Wote |
Mahali | : | Kanisani, LWC-Makuti, Kawe | |
WOTE MNAKARIBISHWA USIKOSE!!!
No comments:
Post a Comment