NDUGU ZANGU WAPENZI KATIKA BWANA NAWASALIMU HABARI ZETU, BWANA APEWE SIFA. NILIWAAHIDI KUWA NITAWAPA MISEMO,JE WAJUAAAA? (mambo ambayo hukuwahi kusikia hapo kwanza au ndio mara ya kwanza kusikia kuhusu Biblia) VIONJO NA MANJONJO MENGINE KIBAO KUTOKA KWENYE BIBLIA YETU. NENO LA MUNGU LINAUTOSHELEVU WOTE HAKUNA KITU KIMEACHWA BWANA TENA KATIKA ULIMWENGU WETU HUU TUNAOISHI LINAFANYA KAZI. KARIBU MTUMIE NA MWENZIO
No comments:
Post a Comment