(Kwa nini Wanuna? / Raha jipe mwenyewe)
(KWA YESU HAKUNA KUNUNA KUNA RAHA YA AJABU HEBU MKARIBISHE KWENYE MAISHA YAKO UONJE RAHA YAKE. WAKATI WOTE NI FURAHA, AMANI UPENDO KICHEKO KAZI YETU NI KUUNGANA NA MASERAFI NA MAKERUBI, WAZEE 24 NA WENYE UHAI WANNE TUNASIFU NA KUIMBA MTAKATIFU! MTAKATIFU! MTAKATIFU HAKUNA KUCHOKA HAKUNA KULALA TUMEJAA NGUVU TUNA AMANI TUNAYE BABA MWENYE UWEZA WOTE kwa nini tununeeeeeeeee tunacheza tu tunarusha taji tunadaka tunaima tunainuka usiku na mchana kazi yetu moja kusiffuuuuu wajua siri ya kusifuuu. YESU NI BWANA
No comments:
Post a Comment