Brooklyn Terbanacle Tuesday Prayer is very powerful kindly passby when you have time.
Unakaribishwa sana kwenye maombi ya kila Jumanne katika kanisa la Brookyn Terbanacle. Watu wanaokolewa, wanapata uponyaji na faraja kubwa katika maombi ya kila jumanne kanisani Brookyn. Hivyo mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa Bwana anakualika wewe na mwingine kuhudhuria siku hii ya maombi usikose.
Pata muda wa kuongea na Mungu wako kwa njia ya maombi. KARIBU SANA
1 comment:
What a powerful Service! Mungu alionekana jana'it was powerful!!Please make an effort to be there on tuesdays, what an anointing time!!!
Post a Comment