NAJUA BAADHI YA WATANZANIA WENZANGU MNAPENDA SANA KUSIKILIZA MAFUNDISHO YA MTUMISHI WA MUNGU T. B. JOSHUA NA KITUO CHAKE CHA TELEVISION CHA EMMANUEL MNAKIPENDA SANA LAKINI SOMA HII UONE SHETANI ANAVYOWEZA KUPENYA SEHEMU ZILE WATU WENYE KIU NAZO
Naomba uwahabarishe wadau ,Kuna matapeli wameingia nchini Tanzania ( Dar es Salaam) wanadai wao ni representatives wa T.B. Joshua wa SCOAN na Emmanueli TV. SCOAN wamekanusha kutuma representative nchini, hivyo kuweni makini. Matapeli wa aina hii wameenea duniani ambao hujipatia mali kwa jina la T.B.Joshua na Emmanuel TV.
Asanteni na tuwe makini na hawa matapeli
(kwa hisani ya Michuzi)
No comments:
Post a Comment