Monday, November 1, 2010

Ashukuriwe Mungu kwa zoezi la kupiga kura kumalizika kwa amani

Namshukuru Mungu kwa zoezi la upigaji kura nchini kwetu kwenda kwa amani. Tuzidi kuomba tusichoke kwa ajili ya matokeo yanayotangazwa nayo yamalizike kwa amani na usalama ili kusudi la uchaguzi mzima limalizike kwa utulivu na amani.

MIMI MWENYEWE LEO WAPENDWA TOKA ALIFAJIRI NIKO KWENYE TV, INTERNET NIKICHUNGULIA MATOKEO YAANI HADI NIMECHOKA YANATOKA KIDUCHU KIDUCHU NIMEFUNGUA BLOG ZOTE NA WEBSITE KARIBU ZOTE ZA TANZANIA ZA WATOA HABARI HADI NIMECHOKAAAAAA MWEE NINA KIU YA KUJUA MATOKEO KAMA NINI SIJUI HAYA TUSUBIRIE TUONE YATAKAYOJIRI

ACHA NISOME BIBLIA KWANI HII NI MUHIMU NA KIU YANGU NILITAKIWA NIIELEKEZE HUKU ZAIDI.

No comments: