Monday, November 1, 2010

MSEMO! MSEMO!! MSEMOOOO NO. 4

Nimekuwa kimya kwenye msemo sana sasa naona hii ni msemo tosha kabisa.
Biblia inakuambia kwamba,
ADUI ZA MTU NI WATU WA NYUMBANI MWAKE MWENYEWE

Tafakariii

Mweleze Yesu shida yako kwani yeye anayo majibu ya maswali yako, suluhisho na pia hatima ya maisha yako anayo yeye. Usione shida ndugu kumweleza, ingia kwenye chumba chako cha siri teta naye anasikia atakupa majibu.

No comments: