Biblia inatuambia hivii
UPENDELEO HUDANGANYA, NA UZURI NI UBATILI. BALI MWANAMKE AMCHAYE BWANA NDIYE ANAYESIFIWA.
Haya wanawake hima hima tusijione wazuri, tusisifiwe tu kwa kuvaa mavazi yakaka vyema mwili mwetu, kuwa na sura nzuri nk tukasahau kumcha Bwana kwani sifa yetu kuu ndio hii ya( kumcha Mungu). Kwani hata Mfalme Suleiman anasema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa hivyo maarifa yetu yanaongezeka kwa kumcha Bwana. Na maarifa ni muhimu sana kwetu sisi kwani ni Roho ya Mungu ikiingia kwako aha wewe ni kiumbe cha tofauti mtazamo wako ni wa tofauti kabisa unaona kama Mungu aonavyo.
No comments:
Post a Comment