BWANA WA MAJESHI ASEMA HIVII..
YA KWAMBA FANYENI HUKUMU ZA KWELI, KILA MTU NA AMWONEE NDUGU YAKE REHEMA NA HURUMA; TEMA MSIMDHULUMU MJANE , WALA YATIMA ,WALA MGENI, WALA MASIKINI, WALA MTU AWAYE YOTE MIONGONI MWENU ASIWAZE MABAYA JUU YA NDUGU YAKE MOYONI MWAKE.
LAKINI HAO WALIKATAA KUSIKILIZA WAKAGEUZA BEGA LAO, WAKAZIBA MASIKIO YAO ILI WASISIKIE. NAAM WALIFANYA MIOYO YAO KUWA KAMA JIWE GUMU, WASIJE WAKAISIKIA SHERIA NA MANENO YA BWANA WA MAJESHI, ALIYOYAPELEKA KWA ROHO YAKE KWA MKONO WA MANABII WA KWANZA , KWA SABABU HIYO GHADHABU KUU IKATOKA KWA BWANA WA MAJESHI
IKAWA KWA SABABU ALILIA, WAO WASITAKE KUSIKILIZA, BASI, WAO NAO WATALIA, WALA MIMI SITASIKILIZA, ASEMA BWANA WA MAJESHI
No comments:
Post a Comment